sw_tn/eph/05/08.md

24 lines
799 B
Markdown

# Hapo kale ulikuwa giza
Kama tu mmoja hawezi kuona gizani, ndivyo watu wanaoishi katika dhambi wanapungukiwa ufahamu wa kiroho.
# Lakini sasa ninyi ni nuru katika Bwana
Kama tu mmoja anaweza kuona katika nuru, ndivyo watu ambao wanaishi katika haki wanaufahamu wa kiroho.
# kwa sababu tunda la haki ni uzuri wote, haki, na kweli
kazi zinazotoka kwenye maisha ya muumini (uzuri, haki, na kweli) zinafanana na tunda zuri linalozalishwa na mti wenye afya.
# hazina ushirikiano pamoja na kazi zisizozaa za giza
"Usijihusishe na kazi za dhambi au wasioamini"
# kazi zisizozaa za giza
kazi za mtu fulani anayeishi katika giza la kiroho zinafanana na matendo maovu ya watu wanaofanya kazi za uovu wamefichwa na giza usiku.
# lakini afadhali uwafichue
"lakini heri uwaweke wazi kuwa wanamakosa"