sw_tn/eph/05/01.md

20 lines
447 B
Markdown

# Kauli unganishi
Paulo anaendelea kuwaambia waumini jinsi wanavyotakiwa na wasivyotakiwa kuishi kama watoto wa Mungu.
# Kwa hiyo mwe wa kumuiga Mungu
"Hivyo ninyi mfanye mambo ambayo Mungu hufanya"
# kama watoto wake wapendwa
Mungu anatamani sisi tumuige yeye maadam sisi ni watoto wake.
# tembea katika upendo
"ishi maisha ya upendo"
# sadaka na dhabihu, harufu nzuri inayompendeza Mungu
"sadaka inayonukia vizuri na dhabihu kwa Mungu"