# Kauli unganishi Paulo anaendelea kuwaambia waumini jinsi wanavyotakiwa na wasivyotakiwa kuishi kama watoto wa Mungu. # Kwa hiyo mwe wa kumuiga Mungu "Hivyo ninyi mfanye mambo ambayo Mungu hufanya" # kama watoto wake wapendwa Mungu anatamani sisi tumuige yeye maadam sisi ni watoto wake. # tembea katika upendo "ishi maisha ya upendo" # sadaka na dhabihu, harufu nzuri inayompendeza Mungu "sadaka inayonukia vizuri na dhabihu kwa Mungu"