sw_tn/eph/04/07.md

16 lines
449 B
Markdown

# kauli unganishi
Paulo anawakumbusha waamini juu ya karama ambazo Kristo huwapa waamini kutumia katika kanisa ambalo ni mwili wote wa waamini.
# maelezo ya jumla
Nukuu hii imetoka katika wimbo mfalme Daudi aliimba.
# Kwa kila mmoja wetu amepewa karama
Hii yaeza elezwa kwa kutumia kauli tendaji. "Mungu ametoa karama kwa kila mmoja wetu" au "Mungu alitoa karama kwa kila muumini"
# Alipopaa juu sana
"wakati Kristo alipokwenda juu mbinguni"