sw_tn/eph/01/22.md

24 lines
738 B
Markdown

# Mungu amevitiisha
Mungu ameweka" au "Mungu ameweka"
# vitu vyote chini ya miguu ya Kristo
Hapa miguu inawakisha ubwana wa Kristo,mamlaka,na nguvu:"vitu vyote chini ya nguvu ya Kristo"
# alifanya yeye kichwa ...ambacho ni mwili wake
kama mwili wake ,kichwa hutawala vitu vyote vinavyohusu mwili wake hivyo ni Kristo kichwa cha mwili wa kanisa.
# Kichwa cha vitu vyote katika kanisa
Hapa "kichwa" kinahusu kiongozi au mmoja ambaye yupo kwenye madaraka "mtawala juu ya vitu vyote ndani ya kanisa."
# ambacho ni mwili wake
Kanisa kila mara hurejea mwili wa Kristo.
# "ukamilifu wake ambao hujaza vitu vyote katika njia zote"
"Kristo hujaza kanisa na kwa mwili wake na nguvu ambazo hutupatia na kuzuilia maisha na vitu vyote"