# Mungu amevitiisha Mungu ameweka" au "Mungu ameweka" # vitu vyote chini ya miguu ya Kristo Hapa miguu inawakisha ubwana wa Kristo,mamlaka,na nguvu:"vitu vyote chini ya nguvu ya Kristo" # alifanya yeye kichwa ...ambacho ni mwili wake kama mwili wake ,kichwa hutawala vitu vyote vinavyohusu mwili wake hivyo ni Kristo kichwa cha mwili wa kanisa. # Kichwa cha vitu vyote katika kanisa Hapa "kichwa" kinahusu kiongozi au mmoja ambaye yupo kwenye madaraka "mtawala juu ya vitu vyote ndani ya kanisa." # ambacho ni mwili wake Kanisa kila mara hurejea mwili wa Kristo. # "ukamilifu wake ambao hujaza vitu vyote katika njia zote" "Kristo hujaza kanisa na kwa mwili wake na nguvu ambazo hutupatia na kuzuilia maisha na vitu vyote"