sw_tn/ecc/10/12.md

12 lines
278 B
Markdown

# Taarifa ya Jumla:
Mithali inaendelea.
# Maneno ya kinywa cha mtu mwenye hekima yana huruma
"Vitu ambavyo mtu mwenye hekima husema vina huruma"
# midomo ya mpumbavu humumeza mwenyewe
Hapa neno "kumeza" inaashiria kuteketeza. "Vitu ambavyo mtu mpumbavu hunena humteketeza"