# Taarifa ya Jumla: Mithali inaendelea. # Maneno ya kinywa cha mtu mwenye hekima yana huruma "Vitu ambavyo mtu mwenye hekima husema vina huruma" # midomo ya mpumbavu humumeza mwenyewe Hapa neno "kumeza" inaashiria kuteketeza. "Vitu ambavyo mtu mpumbavu hunena humteketeza"