sw_tn/ecc/09/03.md

16 lines
341 B
Markdown

# kila kitu kinachofanyika
"kila kitu amabacho watu hufanya"
# mwisho mmoja
hapa neno "mwisho" linamaanisha kifo.
# Mioyo ya wanadamu imejaa uovu, na wazimu uko katika mioyo yao
Hapa neno "mioyo" linamaanisha mawazo na hisia. "Wanadamu wamejaa uovu, na fikra zao ni wazimu"
# wanaenda kwa wafu
"wanaenda sehemu ya wafu" au "wanakufa"