# kila kitu kinachofanyika "kila kitu amabacho watu hufanya" # mwisho mmoja hapa neno "mwisho" linamaanisha kifo. # Mioyo ya wanadamu imejaa uovu, na wazimu uko katika mioyo yao Hapa neno "mioyo" linamaanisha mawazo na hisia. "Wanadamu wamejaa uovu, na fikra zao ni wazimu" # wanaenda kwa wafu "wanaenda sehemu ya wafu" au "wanakufa"