sw_tn/ecc/07/07.md

12 lines
453 B
Markdown

# Kuchukua kwa nguvu (jeuri)
Hii ina maanisha kumlazimisha mtu kumpa pesa au vitu vingine vya dhamani mtu mwingine ili asimdhuru. Hii inadhaniwa kuwa kosa.
# humfanya mtu mwenye hekima kuwa mpumbavu
Maana zinazowezekana ni 1) "humgeuza mtu mwenye hekima kuwa mpumbavu" au 2) "hufanya ushauri wa mwenye hekima kuonekana kama ushauri wa kipumbavu."
# huharibu moyo
Hapa neno "moyo" inamaanisha akili. "huharibu uwezo wa mtu kuwaza na kuamua vizuri"