# Kuchukua kwa nguvu (jeuri) Hii ina maanisha kumlazimisha mtu kumpa pesa au vitu vingine vya dhamani mtu mwingine ili asimdhuru. Hii inadhaniwa kuwa kosa. # humfanya mtu mwenye hekima kuwa mpumbavu Maana zinazowezekana ni 1) "humgeuza mtu mwenye hekima kuwa mpumbavu" au 2) "hufanya ushauri wa mwenye hekima kuonekana kama ushauri wa kipumbavu." # huharibu moyo Hapa neno "moyo" inamaanisha akili. "huharibu uwezo wa mtu kuwaza na kuamua vizuri"