sw_tn/ecc/07/03.md

20 lines
559 B
Markdown

# uso wa huzuni
Hii inamaanisha kuwa na huzuni. "tukio linalomfanya mtu kuwa na huzuni"
# furaha ya moyo
Hapa neno "moyo" linamaanisha mawazo na hisia ya mtu. Furaha inafafanua hali ya hisia ya kuwa mwenye furaha na amani . "kufikiri sawa"
# Moyo wa mwenye hekima uko katika nyumba ya maombolezo
"Watu wenye hekima huwaza kwa makini kuhusu kifo"
# lakini moyo wa wapumbavu uko katika nyumba ya karamu
"lakini mpumbavu anawazu tu jinsi ya kufurahi"
# nyumba ya maombolezo ... nyumba ya karamu
Misemo hii inamaanisha nini kinatokea katika sehemu hizi.