# uso wa huzuni Hii inamaanisha kuwa na huzuni. "tukio linalomfanya mtu kuwa na huzuni" # furaha ya moyo Hapa neno "moyo" linamaanisha mawazo na hisia ya mtu. Furaha inafafanua hali ya hisia ya kuwa mwenye furaha na amani . "kufikiri sawa" # Moyo wa mwenye hekima uko katika nyumba ya maombolezo "Watu wenye hekima huwaza kwa makini kuhusu kifo" # lakini moyo wa wapumbavu uko katika nyumba ya karamu "lakini mpumbavu anawazu tu jinsi ya kufurahi" # nyumba ya maombolezo ... nyumba ya karamu Misemo hii inamaanisha nini kinatokea katika sehemu hizi.