sw_tn/ecc/06/05.md

16 lines
479 B
Markdown

# ana pumziko ingawa mtu huyo hakupumzika
Mtoto ambaye hakuzaliwa hapitia taabu, anabaki katika mapumziko. wakati mtu aliyeishi miaka mingi bila kuridhika anakosa pumziko.
# Hata kama mtu akiishi miaka elfu mbili
Hii ni kukuza neno kuonesha kuwa haijalishi ni muda gani mtu ataishi kama hatafurahia vitu vizuri maishani.
# miaka elfu mbili
"miaka 2000"
# lakini hajifunzi kufurahia vitu vizuri
Hili ndilo lengo, kuwa mtu anapaswa kufaidi vitu vizuri kutoka katika maisha.