# ana pumziko ingawa mtu huyo hakupumzika Mtoto ambaye hakuzaliwa hapitia taabu, anabaki katika mapumziko. wakati mtu aliyeishi miaka mingi bila kuridhika anakosa pumziko. # Hata kama mtu akiishi miaka elfu mbili Hii ni kukuza neno kuonesha kuwa haijalishi ni muda gani mtu ataishi kama hatafurahia vitu vizuri maishani. # miaka elfu mbili "miaka 2000" # lakini hajifunzi kufurahia vitu vizuri Hili ndilo lengo, kuwa mtu anapaswa kufaidi vitu vizuri kutoka katika maisha.