sw_tn/ecc/06/03.md

28 lines
630 B
Markdown

# akizaa watoto mia moja
"akizaa watoto 100"
# kuishi miaka mingi, ili kwamba siku za miaka yake ni nyingi
Misemo hii miwili inamaanisha kitu kimoja na imeunganishwa kuleta msisitizo.
# moyo wake hautosheki kwa mema
"haridhika na vitu vizuri"
# hazikwi kwa heshima
Maana zinazowezekana ni 1)"hakuna atakayemzika" au 2) "hakuna atakayemzika vizuri"
# Hata mtoto huyo amezaliwa bila faida
"mtoto wa hivyo amezaliwa bure"
# anapita katika giza
Hapa neno "giza" linaweza kumaanisha kati ya dunia ya wafu au kitu ambacho ni kigumu kuelewa. "anakufa bila kuelewa"
# jina lake linabaki limefichika
"hakuna ajuaye jina lake"