sw_tn/ecc/05/19.md

20 lines
391 B
Markdown

# mali na utajiri
Maneno haya mawili yana maana moja. Yanamaanisha pesa na vitu ambavyo anaweza kununua kwa pesa.
# kupokea sehemu yake na kufurahi katika kazi yake
Hii inaonesha uwezo wa kuridhika na mtu kufurahia kazi yake.
# hakumbuki
Ambaye hakumbuki ni mtu ambaye Mungu amempa zawadi.
# siku za maisha yake
"vitu vilivyotokea wakati wa maisha yake.
# kuhangaika
"kushughulika"