# mali na utajiri Maneno haya mawili yana maana moja. Yanamaanisha pesa na vitu ambavyo anaweza kununua kwa pesa. # kupokea sehemu yake na kufurahi katika kazi yake Hii inaonesha uwezo wa kuridhika na mtu kufurahia kazi yake. # hakumbuki Ambaye hakumbuki ni mtu ambaye Mungu amempa zawadi. # siku za maisha yake "vitu vilivyotokea wakati wa maisha yake. # kuhangaika "kushughulika"