|
# Na ni nani ajuaye kama atakuwa mwenye hekima au mpumbavu?
|
|
|
|
"Kwa kuwa hakuna ajuaye kama atakuwa mwenye hekima au mpumbavu."
|
|
|
|
# atakuwa
|
|
|
|
Hapa inamaanisha mtu yule atakaye rithi utajiri wa Sulemani.
|
|
|
|
# moyo wangu ukaanza kukata tamaa
|
|
|
|
"Nikaanza kusononeka"
|