# Na ni nani ajuaye kama atakuwa mwenye hekima au mpumbavu? "Kwa kuwa hakuna ajuaye kama atakuwa mwenye hekima au mpumbavu." # atakuwa Hapa inamaanisha mtu yule atakaye rithi utajiri wa Sulemani. # moyo wangu ukaanza kukata tamaa "Nikaanza kusononeka"