sw_tn/ecc/02/04.md

16 lines
423 B
Markdown

# Nilijenga nyumba kwa ajili yangu na kupanda miti ya mizabibu
Huenda mwandishi aliwaambia watu kuifanya hiyo kazi. "Niliwafanya watu wanijengee nyumba na kunipandia miti ya mizabibu"
# bustani na viwanja
Maneno haya mawili yana maana zikukaribiana na zinamaanisha mashamba mazuri ya miti ya matunda.
# kumwagilia msitu
"kutoa maji kwa ajili ya msitu"
# msitu mahali miti ilikuwa imepandwa
"msitu ambapo miti huota"