# Nilijenga nyumba kwa ajili yangu na kupanda miti ya mizabibu Huenda mwandishi aliwaambia watu kuifanya hiyo kazi. "Niliwafanya watu wanijengee nyumba na kunipandia miti ya mizabibu" # bustani na viwanja Maneno haya mawili yana maana zikukaribiana na zinamaanisha mashamba mazuri ya miti ya matunda. # kumwagilia msitu "kutoa maji kwa ajili ya msitu" # msitu mahali miti ilikuwa imepandwa "msitu ambapo miti huota"