sw_tn/ecc/02/01.md

20 lines
350 B
Markdown

# Nikasema moyoni
"Nikajiambia"
# nitakujaribu kwa furaha
Hapo atakayejaribiwa inamaanisha ni yeye mwenyewe. "Nitajijaribu mwenyewe na vitu vinavyonipa furaha"
# Kwa hiyo furahia
"Kwa hiyo nitafurahia vitu vinavyo nipendeza"
# Nikasema juu ya kicheko, "Ni wazimu,"
"Nikasema kuwa ni wazimu kucheka wakati mwingine"
# Yafaa nini?
"ni batili"