# Nikasema moyoni "Nikajiambia" # nitakujaribu kwa furaha Hapo atakayejaribiwa inamaanisha ni yeye mwenyewe. "Nitajijaribu mwenyewe na vitu vinavyonipa furaha" # Kwa hiyo furahia "Kwa hiyo nitafurahia vitu vinavyo nipendeza" # Nikasema juu ya kicheko, "Ni wazimu," "Nikasema kuwa ni wazimu kucheka wakati mwingine" # Yafaa nini? "ni batili"