sw_tn/ecc/01/12.md

28 lines
680 B
Markdown

# Nilitia akili yangu
"Nikusudia" au "Niliamua"
# kusoma na kutafuta
Misemo hii miwili inamaanisha kitu kimoja na inasisitiza alisoma kwa bidii.
# wana wa watu
"binadamu"
# matendo yote ambayo yanafanyika
"kila kitu ambacho watu hufanya"
# mvuke
"umande" au "pumzi." Haidumu. "cha muda" au "haina maana." Kile ambacho watu wanafanya ni kama umande kwa sababu hakidumu na hakina maana.
# kujaribu kuuchunga upepo
Mwalimu anasema kwamba vitu ambavyo watu hufanya ni kama kujaribu kuushika upepo au kuuzuia upepo kupuliza.
# Palipopinda hapawezi kunyoshwa! Kisicho kuwepo hakiwezi kuhesabiwa!
"watu hawawezi kunyosha vitu vilivyopinda! Hawawezi kuhesabu kisichokuwepo!"