# Nilitia akili yangu "Nikusudia" au "Niliamua" # kusoma na kutafuta Misemo hii miwili inamaanisha kitu kimoja na inasisitiza alisoma kwa bidii. # wana wa watu "binadamu" # matendo yote ambayo yanafanyika "kila kitu ambacho watu hufanya" # mvuke "umande" au "pumzi." Haidumu. "cha muda" au "haina maana." Kile ambacho watu wanafanya ni kama umande kwa sababu hakidumu na hakina maana. # kujaribu kuuchunga upepo Mwalimu anasema kwamba vitu ambavyo watu hufanya ni kama kujaribu kuushika upepo au kuuzuia upepo kupuliza. # Palipopinda hapawezi kunyoshwa! Kisicho kuwepo hakiwezi kuhesabiwa! "watu hawawezi kunyosha vitu vilivyopinda! Hawawezi kuhesabu kisichokuwepo!"