sw_tn/deu/33/13.md

24 lines
582 B
Markdown

# Taarifa ya Jumla:
Musa anaendelea kubariki kabila za Israeli, baraka ni shairi fupi.
# Kuhusu Yusufu
Hii ina maana ya kabila la Efraimu na kabila la Manase. Kabila zote mbili zilitokana kwa Yusufu.
# Nchi yake na ibarikiwe na Yahwe
Hii inaweza kuelezwa kwa hali ya kutenda. "na Yahwe abariki nchi yao"
# na vitu vya thamani vya mbinguni, na umande
"kwa umande wa thamani kutoka mbinguni" au "kwa mvua ya thamani kutoka mbinguni"
# umande
maji ambayo hujiunda juu ya majani na nyasi katika asubuhi za baridi.
# kina kilalacho chini
Hii ina maana ya maji chini ya ardhi.