sw_tn/deu/33/13.md

582 B

Taarifa ya Jumla:

Musa anaendelea kubariki kabila za Israeli, baraka ni shairi fupi.

Kuhusu Yusufu

Hii ina maana ya kabila la Efraimu na kabila la Manase. Kabila zote mbili zilitokana kwa Yusufu.

Nchi yake na ibarikiwe na Yahwe

Hii inaweza kuelezwa kwa hali ya kutenda. "na Yahwe abariki nchi yao"

na vitu vya thamani vya mbinguni, na umande

"kwa umande wa thamani kutoka mbinguni" au "kwa mvua ya thamani kutoka mbinguni"

umande

maji ambayo hujiunda juu ya majani na nyasi katika asubuhi za baridi.

kina kilalacho chini

Hii ina maana ya maji chini ya ardhi.