sw_tn/deu/33/11.md

585 B

Taarifa ya Jumla:

Musa anaendelea kubariki kabila za Israeli; baraka ni shairi fupi. Anaendelea kuelezea kabila la Lawi, ambalo alianza kufanya katika 33:8.

kubali

"kufurahishwa na" au "kufurahia kupokea"

kazi ya mikono yake

Hapa neno "mikono" lina maana ya mtu mzima. "kazi yote ambayo anafanya"

Vunja viuno vya

Viuno vilichukuliwa kiini cha nguvu. "Kuondoa nguvu ya" au "Kuangamiza kabisa"

wanaoinuka ... wanaoinuka

Msemo huu unatumika mara mbili kama sitiari. "kuinuka kupigana ... kusababisha matatizo zaidi"

wanaoinuka dhidi

Hii ni lahaja. "kupigana dhidi"