sw_tn/deu/33/11.md

24 lines
585 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Taarifa ya Jumla:
Musa anaendelea kubariki kabila za Israeli; baraka ni shairi fupi. Anaendelea kuelezea kabila la Lawi, ambalo alianza kufanya katika 33:8.
# kubali
"kufurahishwa na" au "kufurahia kupokea"
# kazi ya mikono yake
Hapa neno "mikono" lina maana ya mtu mzima. "kazi yote ambayo anafanya"
# Vunja viuno vya
Viuno vilichukuliwa kiini cha nguvu. "Kuondoa nguvu ya" au "Kuangamiza kabisa"
# wanaoinuka ... wanaoinuka
Msemo huu unatumika mara mbili kama sitiari. "kuinuka kupigana ... kusababisha matatizo zaidi"
# wanaoinuka dhidi
Hii ni lahaja. "kupigana dhidi"