# Taarifa ya Jumla: Musa anaendelea kubariki kabila za Israeli; baraka ni shairi fupi. Anaendelea kuelezea kabila la Lawi, ambalo alianza kufanya katika 33:8. # kubali "kufurahishwa na" au "kufurahia kupokea" # kazi ya mikono yake Hapa neno "mikono" lina maana ya mtu mzima. "kazi yote ambayo anafanya" # Vunja viuno vya Viuno vilichukuliwa kiini cha nguvu. "Kuondoa nguvu ya" au "Kuangamiza kabisa" # wanaoinuka ... wanaoinuka Msemo huu unatumika mara mbili kama sitiari. "kuinuka kupigana ... kusababisha matatizo zaidi" # wanaoinuka dhidi Hii ni lahaja. "kupigana dhidi"