sw_tn/deu/33/08.md

537 B

Taarifa ya Jumla:

Musa anaendelea kubariki kabila za Israeli, ambapo alianza kufanya katika 33:1; baraka ni shairi fupi.

Thumimu yako na Urimu yako

Haya yalikuwa mawe matakatifu ambayo kuhani wakuu alibeba kifuani kwake na kutumia mara zingine kuamua mapenzi ya Mungu. Hapa "yako" ina maana ya Yahwe.

ya mwaminifu wako

"mtakatifu wako" au "yule ambaye anatafuta kukufurahisha". Hii ina maana ya kabila la Lawi.

Masa

Jina la "Masa" lina maana ya "kujaribu".

Meriba

Jina la "Meriba" lina maana ya "bishana" au "ugomvi".