sw_tn/deu/32/48.md

16 lines
269 B
Markdown

# milima wa Abarimu
Hili ni jina la usawa wa mlima Moabu.
# Abarimu, juu ya mlima wa Nebo
"Abarimu na kupanda juu wa mlima Nebo"
# mlima wa Nebo
Hii ni sehemu ya juu kabisa katika milima ya Abarimu.
# mkabala na Yeriko
"katika upande mwingine wa mto wa Yordani"