sw_tn/deu/32/48.md

269 B

milima wa Abarimu

Hili ni jina la usawa wa mlima Moabu.

Abarimu, juu ya mlima wa Nebo

"Abarimu na kupanda juu wa mlima Nebo"

mlima wa Nebo

Hii ni sehemu ya juu kabisa katika milima ya Abarimu.

mkabala na Yeriko

"katika upande mwingine wa mto wa Yordani"