# milima wa Abarimu Hili ni jina la usawa wa mlima Moabu. # Abarimu, juu ya mlima wa Nebo "Abarimu na kupanda juu wa mlima Nebo" # mlima wa Nebo Hii ni sehemu ya juu kabisa katika milima ya Abarimu. # mkabala na Yeriko "katika upande mwingine wa mto wa Yordani"