sw_tn/deu/32/46.md

653 B

Aliwaambia

"Musa alisema kwa watu wa Israeli"

Imarisheni akili yenu kwa

Hii ni lahaja. "Vuta nadhari kwa" au "Fikiri kuhusu"

nimewashuhudia kwenu

Maana zaweza kuwa 1) "nimeshuhudia kwako" ikimaanisha kwa kile Yahwe alichosema atafanya kwa Waisraeli iwapo hawatatii, au 2) "Nimekuamuru" inamaana ya kile Yahwe alichowaamuru kufanya.

watoto wenu

"watoto na uzao wenu"

hili

"sheria hii ni"

jambo dogo

Tamshi poza hizi zinaweza kuwekwa katika hali ya chanya. "jambo muhimu sana"

kwa sababu ni uzima wako

"kwa sababu utaishi kama utaitii"

utarefusha siku zako

Siku ndefu ni sitiari ya maisha marefu. "kuweza kuishi muda mrefu"