# Aliwaambia "Musa alisema kwa watu wa Israeli" # Imarisheni akili yenu kwa Hii ni lahaja. "Vuta nadhari kwa" au "Fikiri kuhusu" # nimewashuhudia kwenu Maana zaweza kuwa 1) "nimeshuhudia kwako" ikimaanisha kwa kile Yahwe alichosema atafanya kwa Waisraeli iwapo hawatatii, au 2) "Nimekuamuru" inamaana ya kile Yahwe alichowaamuru kufanya. # watoto wenu "watoto na uzao wenu" # hili "sheria hii ni" # jambo dogo Tamshi poza hizi zinaweza kuwekwa katika hali ya chanya. "jambo muhimu sana" # kwa sababu ni uzima wako "kwa sababu utaishi kama utaitii" # utarefusha siku zako Siku ndefu ni sitiari ya maisha marefu. "kuweza kuishi muda mrefu"