sw_tn/deu/32/46.md

32 lines
653 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Aliwaambia
"Musa alisema kwa watu wa Israeli"
# Imarisheni akili yenu kwa
Hii ni lahaja. "Vuta nadhari kwa" au "Fikiri kuhusu"
# nimewashuhudia kwenu
Maana zaweza kuwa 1) "nimeshuhudia kwako" ikimaanisha kwa kile Yahwe alichosema atafanya kwa Waisraeli iwapo hawatatii, au 2) "Nimekuamuru" inamaana ya kile Yahwe alichowaamuru kufanya.
# watoto wenu
"watoto na uzao wenu"
# hili
"sheria hii ni"
# jambo dogo
Tamshi poza hizi zinaweza kuwekwa katika hali ya chanya. "jambo muhimu sana"
# kwa sababu ni uzima wako
"kwa sababu utaishi kama utaitii"
# utarefusha siku zako
Siku ndefu ni sitiari ya maisha marefu. "kuweza kuishi muda mrefu"