sw_tn/deu/32/44.md

8 lines
288 B
Markdown

# kunena ...ananena
Maana zaweza kuwa 1) "alizungumza ... kuzungumza" au 2) "aliimba ... kuimba"
# masikioni mwa watu
Hapa "masikio" yanawakilisha watu wenyewe na yanasisitiza ya kwamba Musa alitaka kuhakikisha walisikia wimbo vizuri. "kwa watu ili waweze kuwa na uhakika wa kuusikia"