# kunena ...ananena Maana zaweza kuwa 1) "alizungumza ... kuzungumza" au 2) "aliimba ... kuimba" # masikioni mwa watu Hapa "masikio" yanawakilisha watu wenyewe na yanasisitiza ya kwamba Musa alitaka kuhakikisha walisikia wimbo vizuri. "kwa watu ili waweze kuwa na uhakika wa kuusikia"