sw_tn/deu/32/39.md

532 B

Taarifa ya Jumla:

Musa anazungumza wimbo wa shairi kwa watu wa Israeli.

mimi, hata mimi

"Mimi, mimi" au "mimi mwenyewe". Yahwe anarudia "mimi" kusisitiza ya kuwa yeye pekee ndiye Mungu.

ninainua mikono yangu mbinguni na kusema

"Ninainua mkono wangu mbinguni na kuapa" au "Nimetamka kiapo". Kwa kuinua juu mkono ni ishara ya kutoa kiapo.

Niishivyo milele

"Niishivyo milele" au "Ninaapa kwa maisha yangu ambayo hayana mwisho". Kauli hii inawahakikishia watu ya kwamba kile asemacho Mungu katika 32:41-32-42 kitatokea.