sw_tn/deu/32/39.md

16 lines
532 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Taarifa ya Jumla:
Musa anazungumza wimbo wa shairi kwa watu wa Israeli.
# mimi, hata mimi
"Mimi, mimi" au "mimi mwenyewe". Yahwe anarudia "mimi" kusisitiza ya kuwa yeye pekee ndiye Mungu.
# ninainua mikono yangu mbinguni na kusema
"Ninainua mkono wangu mbinguni na kuapa" au "Nimetamka kiapo". Kwa kuinua juu mkono ni ishara ya kutoa kiapo.
# Niishivyo milele
"Niishivyo milele" au "Ninaapa kwa maisha yangu ambayo hayana mwisho". Kauli hii inawahakikishia watu ya kwamba kile asemacho Mungu katika 32:41-32-42 kitatokea.