sw_tn/deu/32/36.md

12 lines
311 B
Markdown

# Taarifa ya Jumla:
Musa anazungumza wimbo wa shairi kwa watu wa Israeli.
# Kwa maana Yahwe atatoa haki kwa watu wake
Nomino inayojitegemea ya "haki" inaweza kutafsiriwa kama kitenzi. "Kwa Yahwe atatenda haki kwa watu wake"
# atawahurumia watumishi wake
"atahisi ya kuwa anahitaji kusaidia watumishi wake"