# Taarifa ya Jumla: Musa anazungumza wimbo wa shairi kwa watu wa Israeli. # Kwa maana Yahwe atatoa haki kwa watu wake Nomino inayojitegemea ya "haki" inaweza kutafsiriwa kama kitenzi. "Kwa Yahwe atatenda haki kwa watu wake" # atawahurumia watumishi wake "atahisi ya kuwa anahitaji kusaidia watumishi wake"