sw_tn/deu/32/36.md

311 B

Taarifa ya Jumla:

Musa anazungumza wimbo wa shairi kwa watu wa Israeli.

Kwa maana Yahwe atatoa haki kwa watu wake

Nomino inayojitegemea ya "haki" inaweza kutafsiriwa kama kitenzi. "Kwa Yahwe atatenda haki kwa watu wake"

atawahurumia watumishi wake

"atahisi ya kuwa anahitaji kusaidia watumishi wake"