sw_tn/deu/32/35.md

693 B

Taarifa ya Jumla:

Musa anazungumza wimbo wa shairi kwa watu wa Israeli. Huu ni mwisho wa nukuu ya Musa ya maneno ya Yahwe ambayo inaanza katika 32:19.

Kisasi ni changu kutoa, na fidia

Maneno "kisasi" na "fidia" kimsingi ina maana moja. "Nitakuwa na kisasi na kuadhibu adui wa Israeli"

fidia

kuadhibu au kuzawadia mtu kwa kile alichofanya

mguu wao utakapotereza

Jambo baya limefanyika kwao. "hawajiwezi"

siku ya maafa kwao

"wakati wangu kuwaangamiza"

na vitu vitakavyokuja juu yao vitaharakisha kutendeka

Yahwe anazungumzia kuhusu mambo mabaya yatakayotokea kwa adui zake kana kwamba mambo mabaya walikuwa watu wanaokimbia kwa shauku kuwaadhibu. "na nitawaadhibu haraka"