sw_tn/deu/32/35.md

24 lines
693 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Taarifa ya Jumla:
Musa anazungumza wimbo wa shairi kwa watu wa Israeli. Huu ni mwisho wa nukuu ya Musa ya maneno ya Yahwe ambayo inaanza katika 32:19.
# Kisasi ni changu kutoa, na fidia
Maneno "kisasi" na "fidia" kimsingi ina maana moja. "Nitakuwa na kisasi na kuadhibu adui wa Israeli"
# fidia
kuadhibu au kuzawadia mtu kwa kile alichofanya
# mguu wao utakapotereza
Jambo baya limefanyika kwao. "hawajiwezi"
# siku ya maafa kwao
"wakati wangu kuwaangamiza"
# na vitu vitakavyokuja juu yao vitaharakisha kutendeka
Yahwe anazungumzia kuhusu mambo mabaya yatakayotokea kwa adui zake kana kwamba mambo mabaya walikuwa watu wanaokimbia kwa shauku kuwaadhibu. "na nitawaadhibu haraka"