sw_tn/deu/32/25.md

24 lines
860 B
Markdown

# Taarifa ya Jumla:
Musa anazungumza wimbo wa shairi kwa watu wa Israeli. Anaendelea kutoa nukuu maneno ya Yahwe.
# Nje panga litawatwaa
Hapa "panga" inawakilisha jeshi la maadui. "Waisraeli wanapokuwa nje, jeshi la adui litawaua"
# hofu kuu itafanya hivyo
Yahwe anazungumzia kuwa na hofu kana kwamba ilikuwa mtu anayekuja ndani ya nyumba na kuua wale waishio ndani yake. "utakufa kwa sababu unaogopa"
# mwanamume kijana na bikra nitawaangamiza, mchanga anyonyaye, na mwanamume mwenye mvi
Misemo hii inayoelezea watu wa umri tofauti imeunganishwa kumaanisha ya kuwa kila aina ya watu watakufa.
# Nilisema nita ... mbali, kwamba nita ... wanadamu
Hii inaweza kutafsiriwa kama nukuu iliyo moja kwa moja. "Nilisema, "nita .. mbali, na nita... binadamu"
# nitafanya kumbukumbu yao kukoma miongoni mwa wanadamu
"Nitawafanya watu wote kusahau kuhusu wao"