sw_tn/deu/32/25.md

860 B

Taarifa ya Jumla:

Musa anazungumza wimbo wa shairi kwa watu wa Israeli. Anaendelea kutoa nukuu maneno ya Yahwe.

Nje panga litawatwaa

Hapa "panga" inawakilisha jeshi la maadui. "Waisraeli wanapokuwa nje, jeshi la adui litawaua"

hofu kuu itafanya hivyo

Yahwe anazungumzia kuwa na hofu kana kwamba ilikuwa mtu anayekuja ndani ya nyumba na kuua wale waishio ndani yake. "utakufa kwa sababu unaogopa"

mwanamume kijana na bikra nitawaangamiza, mchanga anyonyaye, na mwanamume mwenye mvi

Misemo hii inayoelezea watu wa umri tofauti imeunganishwa kumaanisha ya kuwa kila aina ya watu watakufa.

Nilisema nita ... mbali, kwamba nita ... wanadamu

Hii inaweza kutafsiriwa kama nukuu iliyo moja kwa moja. "Nilisema, "nita .. mbali, na nita... binadamu"

nitafanya kumbukumbu yao kukoma miongoni mwa wanadamu

"Nitawafanya watu wote kusahau kuhusu wao"